Maneno ya Heshima Yanayohusiana na Udugu
Kusikiliza na Kuzungumza · Maneno ya Heshima Yanayohusiana na Udugu
Silabasi: CBC * Gredi ya 5 * Kiswahili * Mada 1.0 Kusikiliza na Kuzungumza * Mada Ndogo 1.1 Maneno ya Heshima Yanayohusiana na Udugu
Malengo ya somo
Kufikia mwisho wa mada hii, uweze:
- Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano.
- Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo ya kila siku.
- Kuthamini matumizi ya maneno ya udugu katika mawasiliano ya kila siku.
Muhtasari
Katika mada hii, utajifunza maneno ya heshima yanayotumiwa kuwarejelea watu wa ukoo na jamaa zetu, na jinsi ya kuyatumia ipasavyo katika mazungumzo ya kila siku.