Kusoma kwa Ufasaha
Kusoma · Kusoma kwa Ufasaha
Silabasi: CBC * Gredi ya 5 * Kiswahili * Mada 3.0 Kusoma * Mada Ndogo 3.2 Kusoma kwa Ufasaha
Malengo ya somo
Kufikia mwisho wa mada hii, uweze:
- Kutambua vipengele vya usomaji wa ufasaha.
- Kusoma kifungu kwa ufasaha, ukizingatia kasi na matamshi sahihi.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha kama njia ya kuboresha mawasiliano.
Muhtasari
Katika mada hii, utajifunza vipengele vya usomaji wa ufasaha na kufanya mazoezi ya kusoma kifungu kuhusu maandalizi ya sherehe.