Kusoma kwa Kina
Kusoma · Kusoma kwa Kina
Silabasi: CBC * Gredi ya 5 * Kiswahili * Mada 2.0 Kusoma * Mada Ndogo 2.2 Kusoma kwa Kina
Malengo ya somo
Kufikia mwisho wa mada hii, uweze:
- Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi.
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali.
- Kuchangamkia kutumia kamusi kukuza msamiati wako.
Muhtasari
Katika mada hii, utajifunza jinsi ya kutumia kamusi kutafuta maana za maneno, ukilenga maneno ya maamkuzi na maagano.