Skip to content
SmartStudy

Kusoma kwa Ufahamu: Ushairi

Kusoma · Kusoma kwa Ufahamu: Ushairi

Silabasi: CBC * Gredi ya 5 * Kiswahili * Mada 5.0 Kusoma * Mada Ndogo 5.2 Kusoma kwa Ufahamu: Ushairi

Malengo ya somo

Kufikia mwisho wa mada hii, uweze:

  • Kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha.
  • Kusoma shairi ukizingatia vina, mizani, na ujumbe ili kuimarisha ufahamu.
  • Kuchangamkia kusoma shairi ukizingatia mapigo ya sauti.

Muhtasari

Katika mada hii, utajifunza kutambua vina na mizani katika shairi, na kusoma shairi kuhusu bidii na uvumilivu ukizingatia vipengele hivi.

Next in KiswahiliKusoma kwa Kina